JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI

JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI 

Leo  tutajifunza jinsi ya kutengeneza chaki za aina zote.
Tofauti ya chaki inatokana na malighafi inayotumika kutengenezea chaki
husika mfano rangi na aina ya chokaa inayotumika.




MARIGHAFI;
 1.CHOKAA NYEUPE.
2.MAJI
3.RANGI(Kama unahitaji iwe ya rangi)
4.FOIL PAPER(MAUMBO)
5.MOTO



HATUA YA KWANZA 

Chukua chokaa kilo moja iliyochekechwa na kupata unga ulio safi,maji lita moja,rangi 10mls.Changanya mchanganyiko huu kwa pamoja upate uji mzito na ukoroge kwa dakika kumi na tano.

HATUA YA PILI. 
Weka mchanganyiko wako katika maumbo yako ya vibox au bati ambazo zimekatwa katika shape unayoitaka.
Weka juani chaki zako mpaka zikauke.
Zitoe kwenye maumbo uziweke jikoni na kuzichoma kama unavyochoma matofari au vyungu mpaka ukiishika uone inatoa vumbi na ukiidondosha ikatike vipande viwili au zaidi.
CHAKI ZAKO TAYARI PAKI NA KUZIPELEKA SOKONI

ANGALIA VIDEO HII

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad