JUIS YA STRAWBERRY SHAKE

Kinywaji:Strawberry shake

Ndizi                                                     2 (wastani)
Vipande vya barafu                             Kikombe cha chai 1

Maziwa                                               Kikombe cha chai  ¾ − 1 


Juisi ya machungwa                            Kikombe cha chai 1

Asali                                                    Vijiko vya supu 2

2.  Saga mchanganyiko wako hadi ulainike vizuri.

3.  Mimina kwenye gilasi na itakuwa tayari kwa kunywewa.
VIPIMO
Stroberi (strawberries)                        Vikombe vya chai 2
NAMNA YA KUTAYARISHA
  1.   Kata kata ndizi na stroberi na uweke kwenye mashine (blender) pamoja na vipimo vyote vilivyobaki.
  2. Saga kwa muda wa dk 5 baada ya hapo kaa chini enjoy.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad