Saladi Ya Kabeji Na Pilipili Mboga (Hoho) Na Karoti
Vipimo na Namna ya Kutayarisha
- Kabeji likatekate jembamba -- ½ (Nusu) size ya kiasi
- Karoti ikate kate - 2
- Pilipili mboga la kijani (capsicum) - 2
- Nyanya/tungule - 2 katakata
- Sosi Ya saladi
- Siki ya Tufaha (apple cider vinegar) - 1 vijiko vya supu
- Mafuta ya halizeti (olive oil) - 3 vijiko vya supu
- Chumvi – Kiasi
- Pilipili nyekundu ya unga - ½ kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
- Changanya vitu vyote katika bakuli
- Wakati wa kula, tia sosi (dressing)
- FURAHIA MLO WAKO