JINSI YA KUTENGENEZA JUISI YA PASHENI, KAROTI NA NDIMU.

JINSI YA KUTENGENEZA RJUISI YA PASHENI, KAROTI NA NDIMU.

Passion fruit - 10

Karoti - 7

Ndimu - 4 kamua maji

Maji - kiasi

Sukari - kiasi upendavyo


 

Namna Ya Kutayarisha

  1. Chemsha karoti hadi ziive kisha zisage na maji katika blender.
  2. Kata passion fruit toa nyama weka katika mashine  usage na maji   
  3. Kisha changanya vyote katika bakulia kubwa kisha tia sukari, kisha tia ndimu  
  4. Weka katika friji ikiwa tayari.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad